Wizara ya Maji,Nishati na Madini-Zanzibar

Wataalam wa Wizara ya Maji, Nishati na Madini kutoka serikali ya Mapinduzi Zanzibar wameungana na wenyeji wao wa Wizara ya Maji Tanzania bara kutembelea Bodi ya Maji Bonde la Rufiji

Wataalam wa Wizara ya Maji, Nishati na Madini kutoka serikali ya Mapinduzi Zanzibar wameungana na wenyeji wao wa Wizara ya Maji Tanzania bara kutembelea Bodi ya Maji Bonde la Rufiji kwa lengo la kujifunza na kushirikishana namna bora ya utunzaji ugawaji na uendelezaji wa rasilimali za maji. Ziara hiyo inafanyika kufuatia makubaliano ya wizara hizi […]

Naibu Waziri wa Maji Nishati na Madini Zanzibar Mhe. Zawadi Amour Nassor afanya ziara kisiwani Pemba kupitia miradi ya Ahueni ya UVIKO-19

Naibu Waziri wa Maji Nishati na Madini Zanzibar Mhe. Zawadi Amour Nassor amefanya ziara kisiwani pemba kupitia mirad ya ahueni ya UVIKO-19 iliyopo katika kisiwa hicho ili kuona tija iliyofikiwa na miradi hiyo katika kutatua changamoto za maji katika maeneo yaliyoainishwa kufikiwa na mradi. Katika Ziara Yake Naibu Waziri alipitia miradi miwili ambao ni wa […]