Wataalam wa Wizara ya Maji, Nishati na Madini kutoka serikali ya Mapinduzi Zanzibar wameungana na wenyeji wao wa Wizara ya Maji Tanzania bara kutembelea Bodi ya Maji Bonde la Rufiji
Wataalam wa Wizara ya Maji, Nishati na Madini kutoka serikali ya Mapinduzi Zanzibar wameungana na wenyeji wao wa Wizara ya Maji Tanzania bara kutembelea Bodi ya Maji Bonde la Rufiji kwa lengo la kujifunza na kushirikishana namna bora ya utunzaji ugawaji na uendelezaji wa rasilimali za maji. Ziara hiyo inafanyika kufuatia makubaliano ya wizara hizi […]
WIZARA YA MAJI, NISHATI NA MADINI ZANZIBAR YATEMBELEA BANDA LA TUME YA MADINI, TGC KWENYE MAONESHO YA MADINI GEITA
Timu ya wataalam ikiongozwa na Mkurugenzi wa Idara ya Nishati na Madini, Mhandisi Said Mdungi kutoka Wizara ya Maji, Nishati na Madini Zanzibar imetembelea banda la Tume ya Madini na Kituo cha Jemolojia Tanzania (TGC) kwenye Maonesho ya Tano ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini yanayoendelea katika Viwanja vya Bombambili, mjini Geita. Mara baada ya […]
Waziri wa Maji upande wa Muungano Tanzania Bara Mhe. Juma Aweso Akutana na Ujumbe Kutoka Wizara ya Maji Zanzibar
Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) leo amekutana na ujumbe kutoka Wizara ya Maji, Nishati na Madini ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Akizungumza na ujumbe huo katika kikao kilichofanyika jijini Dodoma, Waziri Aweso amesema Wizara ya Maji Tanzania Bara haitakuwa kikwazo katika kujenga mahusiano mema na Wizara ya Maji, Nishati na Madini Zanzibar katika […]
Naibu Waziri wa Maji Nishati na Madini Zanzibar Mhe. Zawadi Amour Nassor afanya ziara kisiwani Pemba kupitia miradi ya Ahueni ya UVIKO-19
Naibu Waziri wa Maji Nishati na Madini Zanzibar Mhe. Zawadi Amour Nassor amefanya ziara kisiwani pemba kupitia mirad ya ahueni ya UVIKO-19 iliyopo katika kisiwa hicho ili kuona tija iliyofikiwa na miradi hiyo katika kutatua changamoto za maji katika maeneo yaliyoainishwa kufikiwa na mradi. Katika Ziara Yake Naibu Waziri alipitia miradi miwili ambao ni wa […]