The Revolutionary Government of Zanzibar

drop1

History

Wizara ya Maji, Nishati na Madini ni miongoni mwa Wizara 15 zilizotangazwa na Mheshimiwa Dk. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi tarehe 19 Novemba, 2020 wakati akitangaza Baraza lake la Mawaziri. Wizara hii imevunjwa kutoka kwa iliyokuwa Wizara ya Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati.

Dira

Kuhakikisha wakaazi wa Zanzibar wanafaidika na huduma za maji safi na salama, Upatikanaji na Usambazaji wa Nishati Endelevu kwa Ufanisi na Unafuu na kuhakikisha wananchi wanapata huduma ya rasilimali zisizorejesheka kwa urahisi na ufanisi.


Dhamira

Kutoa huduma nafuu, Endelevu, katika ubora kwa watu wote na katika mazingira yanayofaa kuleta ufanisi katika utoaji wa huduma za Maji, Nishati na Madini.


NEWS

2

2