The Revolutionary Government of Zanzibar

drop1

Water Development

Idara hii itahusika na usimamizi na uhifadhi wa rasilimali maji. Idara hii itaongozwa na Mkurugenzi ambae ni mteuliwa wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. 

Majukumu ya Idara 

  1. Kuratibu, Kuhifadhi na Kusimamia matumizi ya Rasilimali maji kwa mujibu wa mikakati ya Sera ya Maji ya Taifa.
  2. Kusimamia uandaaji na utekelezaji wa Sera, Sheria Mikakati pamoja na miongozo inayohusiana na usambazaji huduma ya maji safi na usafi wa mazingira.
  3. Kusimamia utekelezaji wa miradi ya usambazaji wa maji safi na usafi wa mazingira
  4. Kusimamia Ukusanyaji, Uchambuzi, Ufuatiliaji pamoja na uwasilishaji wa taarifa mbali mbali zinazohusiana na masuala ya maji.

NEWS

2

2