The Revolutionary Government of Zanzibar

drop1

Planning, Policy and Research

Idara hii inatekeleza majukumu yafuatayo;

  1. Kusimamia vitengo na kuongoza majukumu yote ya Idara.
  2. Kuhakikisha mahitaji yote ya Idara yanatayarishwa na kusimamiwa kwa wakati kwa mujibu wa maagizo ya Serikali na maoni ya wadau.
  3. Kuandaa mpango wa mwaka na mpango mkakati wa maendeleo wa muda mrefu.
  4. Kufuatilia, kukusanya na kuratuibu mipango ya maeneleo ya tasisi.
  5. Kutayarisha mkakati na mbinu za kutafuta rasilimali na lmisaada mbali mbali.
  6. Kufanya kazi kwa karibu sana na Wizara Fedha, Uchumi na Miipango ya maendweleo kuhusu mipango mkakati wa bajeti.
  7. Kutoa utaalamu na huduma kwa ajili ya maandalizi, kufanya mapitio, ufuatiliaji na tathmini ya Sera mbali mbali.
  8. Kukusanya takwimu mbali mbali kuhusu sekta inayosimamiwa na Wizara na kufanya uchambuzi pia kuwa kiungo kuhusu shughuli za takwimu na taasisi inayohusika na takwimu za kitaifa.
  9. Kufanya kazi nyenginezo kama zitakavyoelekezwa na Uongozi wa Wizara. 

NEWS

2

2