Wizara ya Maji,Nishati na Madini-Zanzibar

Dira & Dhamira

DIRA: Kuhakikisha wakaazi wa Zanzibar wanafaidika na huduma za maji safi na salama, Upatikanaji na Usambazaji wa Nishati Endelevu kwa Ufanisi na Unafuu.

DHAMIRA: Kutoa huduma nafuu, Endelevu, katika ubora kwa watu wote na katika mazingira yanayofaa kuleta ufanisi katika utoaji wa huduma za Maji, Nishati na Madini.