Wizara ya Maji,Nishati na Madini-Zanzibar

Utangulizi

Wizara ya Maji, Nishati na Madini ni miongoni mwa Wizara 15 zilizotangazwa na Mheshimiwa Dk. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi tarehe 19 Novemba, 2020 wakati akitangaza Baraza Lake la Mawaziri. Wizara hii imevunjwa kutoka kwa iliyokuwa Wizara ya Ardhi, Nyumba, Maji na Nishati